Thursday, October 19, 2017

JINSI YA KUBOOT COMPUTER KWENYE SAFE MODE

JINSI YA KUBOOT COMPUTER YAKO KWENYE SAFE MODE. Leo nimeamua kuandaa somo jinsi gani unaweza kuboot computer yako kwenye safe mode. kabla hatujaendelea nakuomba unlike page Yangu kwa mada nzuri Kama hzi pia usisahau kuingia kwenye channel Yangu upate masomo haya uku unaona mawasiliano nitafute kwenye email: kingkimbetech@gmail.com simu 0716047015/0692550484. sasa tuendelee washa computer yako ikawa imewaka bonyeza
1. bonyeza windows button na R kwa pamoja
2.andika msconfig kisha bonyeza ENTER
3. nenda kwenye boot
4.weka tick kwenye safe mode
5.bonyeza ok itakuomba kurestart, iruhusu irestart
6.itazima na kuwaka, ikiwaka itaenda mojakwamoja kwenye safe mode
Wako. KINGKIMBE TZ

0 komentar:

Post a Comment