Sunday, April 8, 2018

JINSI YA KUONDOA VIRUS WA SHORTCUT

Habari karibu kwenye blog yangu na page yangu naitwa kingkimbe ni mmiliki wa kingkimbe tech ambayo tunashughulika na mambo ya kiteknolojia na pia tunatengeneza simu na kompyuta hardware na software tunaflash na kuunlock simu twende kwenye mada
Shortcut virus ni moja ya virus wanaokera sana! Hawa huweza kushambulia flash memory card hata computer.
Hii hutokea pale unaposave vitu kwenye flash na unapokuja kuvitazama upya unakutana na shortcuts tu. Leo nitafundisha njia 3 ambazo zinauwezo wa kumuondoa hutu mdudu aina ya shortcut
JINSI YA KUWAONDOA.
1. Nenda sehem ya kusearch (starup menu kweny pc yako) na uandike CMD then right click na uchague run as administrator.
2. Chagua herufi ya disk ambayo inavirus mfano
F.
Iandikwe hivi F: then ENTER
3. Andika dir then ENTER
4. Andika attrib -h -r -s /s /d F:\*.* then ENTER
(F: hii jina la flash yako)
Hapo utawa umemaliza.
*NJIA YA PILI*
Fungua notepad na upaste hiz code
attrib -h -s -r -a /s /d F:*.*
(F: ni jina la drive au flash yako).
Nenda kwenye file then save as then irename kama REMOVE.bat na kwenye file type chagua all files.
Hapo itabadilika na kuwa simple software, ichukue ukaipaste kweny hiyo flash. Itoe flash na urestat computer yako.
*NJIA YA TATU*
download software inaitwa USBFIX ni free software. Kisha fata maelekezo utafanikiwa
usisahau kuwasiliana nami kwa maoni na ushauri +255716047015

0 komentar:

Post a Comment