Sunday, April 8, 2018

JINSI YA KUONGEZA SPEED KWENYE KOMPYUTA

Habari karibu katika blog yangu na page yangu  jina langu naitwa kingkimbe ni mmiliki wa kingkimbe tech ofisi inayo husu mambo mbalimbali ya teknolojia tuna tengeneza na kuflash simu pia tuna unlock simu kwa usalama na haraka zaidi pia tunatengeneza computer hardware na software karibuni
twende kwenye mada  leo tutajifunza jinsi ya kuongeza speed kompyuta zetu bila ya kutumia software yeyote kwanza kabisa tujue kwanini speed inapungua kwenye kompyuta speed hupungua kutokana na kujaa kwa mafaili yajio tumika na applications zisizo tumika sasa tunatakiwa tufute hvyo vitu ili tuongeze speed katika kompyuta  jinsi yakufuta tunatakiwa tufungue run tutabonyeza
CTRL+R  alfu kwenye hyo sehemu ya kusearch tutaandika TEMP alafu tutabonyeza ENTER  kama ni mara ya kwanza ukibonyeza enter yatakuja maneno yanayokutaka ukubali kufungua hilo folde utabonyeza continue utaona mafaili tutayawekea kivuli yote kwa kubonyeza CTRL+A alfu tutabonyeza DELETE  hapo tutakuwa kumefuta mafail yote na kuongeza speed kwenye kompyuta yetu
usisahau kuwasiliana nami kwa maswali na kama unataka somo linalohusu computer au simu
whatsapp +255716047015 AHSANTE

0 komentar:

Post a Comment